Basata yampiga Stop Steve Nyerere japo kweli aliteuliwa kwa haki na bodi

Basata yampiga Stop Steve Nyerere japo kweli aliteuliwa kwa haki na bodi

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limeingilia kati Mgogoro wa ndani la Shirikisho la Muziki na kusimamisha uteuzi wa awali wa Msemaji wa Shirikisho hilo Steven Mengere .

Aidha Baraza limetoa uamuzi huo mara baada ya kufanya kikao Machi 23 na kuridhia kuwa Msemaji huyo kutoanza Majukumu yake Hadi pale sakata hilo litakapotatuliwa.

Pia Baraza limejiridhisha kuwa Bodi ya utendaji ya Shirikisho lilifanya kikao chake mapema Machi 1 katika ukumbi wa Bodi ya Filamu na kufanya uteuzi huo.

Baraza limetoa taarifa ya kushughulikia Mgogoro huo na kupokea hoja za wajumbe pamoja na viongozi wa Shirikisho hilo na na kuahidi kutoa uamuzi mapema iwezekanavyo.
Screenshot_20220323-203735.png
Screenshot_20220323-203750.png
 
Pale kila kitu "bongo" kinapofanywa ni Siasa..

"Tivu ake" amechomekwa hapo kwa sababu kuu za kisiasa na sio kwa manufaa ya wasanii wa muziki. Hivyo hata kama wasanii hawamtaki "wenye nchi" wanamtaka na ndio maana wamemchomeka hapo ili aweze kufanikisha matakwa/agenda zao.

Bila shaka "akili kubwa" mmenielewa vizuri..
 
Hapa sasa ndio kunaonekana umuhimu wa uchawi katika tasnia..watu watarogana sana mwaka huu kudadadeki😎
 
Hatimaye Steve nyerere aibuka kidedea baada ya Makundi 7 kukubali kuwa wanamtaka Steve nyerere BASATA wathibitisha Steve nyerere alichaguliwa kwa haki ,watoa barua yao kwa sasa MSEMAJI mkuu wa shirikisho ni Steve Nyerere
View attachment 2162140View attachment 2162141
Hivi uko serious kweli wewe?Nyinyi ndio huwa mnaingia kwenye mtihani na kitabu na bado mnataga...kha
 
Hatimaye Steve nyerere aibuka kidedea baada ya Makundi 7 kukubali kuwa wanamtaka Steve nyerere BASATA wathibitisha Steve nyerere alichaguliwa kwa haki ,watoa barua yao kwa sasa MSEMAJI mkuu wa shirikisho ni Steve Nyerere
View attachment 2162140View attachment 2162141
BASATA wathibitisha Steve nyerere alichaguliwa kwa haki ,watoa barua yao kwa sasa MSEMAJI mkuu wa shirikisho ni Steve Nyerere[emoji23]
 
Mi sielewi, msemaji wa wanamuziki ndio anakazi gani sasa?
 
Pale kila kitu "bongo" kinapofanywa ni Siasa..

"Tivu ake" amechomekwa hapo kwa sababu kuu za kisiasa na sio kwa manufaa ya wasanii wa muziki. Hivyo hata kama wasanii hawamtaki "wenye nchi" wanamtaka na ndio maana wamemchomeka hapo ili aweze kufanikisha matakwa/agenda zao.

Bila shaka "akili kubwa" mmenielewa vizuri..
Hakuna kitu kama hicho!!hapo tayari wameshamchinjia baharini!! Kitendo cha mumwambia akae pembeni kwanza, tayari biashara imekwisha, hakuna cha akili kubwa wala ndogo hapo.
 
Back
Top Bottom