econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hongera kwake akapige KAZI KWELIKWELI
Ameambiwa asianze kazi. Kwa kifupi kasimamishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwake akapige KAZI KWELIKWELI
Kusimamia michango ya misibaMi sielewi, msemaji wa wanamuziki ndio anakazi gani sasa?
Amezingua😂🤣🤣🤣🤣🤣 This is so harsh ani nimecheeeka
Hawajamvua ila wamemsubirisha kuanza kazi mpaka mgogoro utatuliwe. Kwani hata wao wenyewe BaSaTa wanakiri kikao halali kilifanyika.Soma vizuri hiyo barua, wamemvua ki-utu uzima
Sawa mkuu tusubiri hayo maamuzi ya mwishoHawajamvua ila wamemsubirisha kuanza kazi mpaka mgogoro utatuliwe. Kwani hata wao wenyewe BaSaTa wanakiri kikao halali kilifanyika.