figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Hongera kwake akapige KAZI KWELIKWELIHatimaye Steve nyerere aibuka kidedea baada ya Makundi 7 kukubali kuwa wanamtaka Steve nyerere BASATA wathibitisha Steve nyerere alichaguliwa kwa haki ,watoa barua yao kwa sasa MSEMAJI mkuu wa shirikisho ni Steve Nyerere
View attachment 2162140View attachment 2162141
Hivi uko serious kweli wewe?Nyinyi ndio huwa mnaingia kwenye mtihani na kitabu na bado mnataga...khaHatimaye Steve nyerere aibuka kidedea baada ya Makundi 7 kukubali kuwa wanamtaka Steve nyerere BASATA wathibitisha Steve nyerere alichaguliwa kwa haki ,watoa barua yao kwa sasa MSEMAJI mkuu wa shirikisho ni Steve Nyerere
View attachment 2162140View attachment 2162141
BASATA wathibitisha Steve nyerere alichaguliwa kwa haki ,watoa barua yao kwa sasa MSEMAJI mkuu wa shirikisho ni Steve Nyerere[emoji23]Hatimaye Steve nyerere aibuka kidedea baada ya Makundi 7 kukubali kuwa wanamtaka Steve nyerere BASATA wathibitisha Steve nyerere alichaguliwa kwa haki ,watoa barua yao kwa sasa MSEMAJI mkuu wa shirikisho ni Steve Nyerere
View attachment 2162140View attachment 2162141
Hakuna kitu kama hicho!!hapo tayari wameshamchinjia baharini!! Kitendo cha mumwambia akae pembeni kwanza, tayari biashara imekwisha, hakuna cha akili kubwa wala ndogo hapo.Pale kila kitu "bongo" kinapofanywa ni Siasa..
"Tivu ake" amechomekwa hapo kwa sababu kuu za kisiasa na sio kwa manufaa ya wasanii wa muziki. Hivyo hata kama wasanii hawamtaki "wenye nchi" wanamtaka na ndio maana wamemchomeka hapo ili aweze kufanikisha matakwa/agenda zao.
Bila shaka "akili kubwa" mmenielewa vizuri..
🤣🤣🤣🤣🤣 This is so harsh ani nimecheeekaHivi uko serious kweli wewe?Nyinyi ndio huwa mnaingia kwenye mtihani na kitabu na bado mnataga...kha
Hatimaye Steve nyerere aibuka kidedea baada ya Makundi 7 kukubali kuwa wanamtaka Steve nyerere BASATA wathibitisha Steve nyerere alichaguliwa kwa haki ,watoa barua yao kwa sasa MSEMAJI mkuu wa shirikisho ni Steve Nyerere
View attachment 2162140View attachment 2162141