BASATA yatangaza kumfungia Ney wa Mitego kujihusisha na sanaa kwa muda usiojulikana

Hawa BASATA..... Ngoja tuone mwisho wake.
 
Punde tu nimesikia EFM kuwa atakuwa kwenye show chuo cha ustawi jamii akiwa na lundo la wasanii wadogo na Kiba.

Kama kafungiwa inamaana EFM hawajui hilo mpaka watangaze ushiriki wake katika hiyo show?
 

Iv ipi inaumizwa kutukananmwa matusi ya kingereza au kiswahili
 
Punde tu nimesikia EFM kuwa atakuwa kwenye show chuo cha ustawi jamii akiwa na lundo la wasanii wadogo na Kiba.

Kama kafungiwa inamaana EFM hawajui hilo mpaka watangaze ushiriki wake katika hiyo show?
hv maana ya mda usiojulikanika watu wanazani ndo maisha inaweza kuw ata wiki ney amezungumza na planetbongo kuwa ameambiw alekebishe sehemu chache kwenye nyimbo yake
 
Nyie nanyi mnaongea kama hamna akili ww unaambiwa amefungiwa halaf unasema abadili jina tena kvipi et arekod amerika kwan yy ni raia wa wap kama sio tzania ww kama mtanzania uongozwa na katiba na maadili ya nchi yako abadili uraia
 

Duh Hao mabint wamechambia amila nini
 
hahahha umenifurahisha
 
!
!
Tatizo hapo ni siasa......Ney wa Mitego alizunguka nchi nzima kumnadi Lowassa naona sasa ndio anapata konsekwensezi. Kwani nyimbo ngapi ziko ovyo tu hazifungiwi.
Hakuna kinachokera kama hii tabis a kuingiza siasa kwa vitu visivyohudiana ila basi tu
Kama mtu huna cha kuchangis ubaweza pita tu kama wengine tunavyopita

Naamini ipo siku mkeo skikunyima chakula kwa upuuuzi wako
Utasema tatizo ccm kwani uliwaunga mkono sana ukawa

Kwa nini msiache ukawa ikawa safi na viongozi wakachukua muda wa kuijenga kuliko kuihusisha na vitu visivyo vya msingi
 

Wewe pia unastahili kufungiwa kwa muda usiojulikana.
 
Iv ipi inaumizwa kutukananmwa matusi ya kingereza au kiswahili
Ndio maana nikauliza kwa vile kuna nyimbo chungu mzima zinatrend kwenye mitandao na hakuna anayeziblock hadi kwenye radio na tvs lakini akitoa mbongo wanamfungia na kublock! Ni wazi wafanya maamuzi wengi hawajatoka nje ya box walimojifungia na kujua kuwa kuna mamilioni ya mabox mengine nje na la kwao!
 
Taarabu ndo zimejaa matusi, nazo zifungiwe
 
Sijausikiliza huo wimbo lakini Basata ni lazima waelewe lugha ya Kiswahili haiwezi kukua bila ya kuwa na tungo fikirishi.Vinginevyo watuambie mtu akisema Tunda la MTI wa KATIKATI naye atakuwa anatukana maana Bible haijatafsiri lakini sisi binadamu ndio tunaotafsiri
 
Afungiwe tu maana hamna anacho kiimbaa
 

Ila n kweli unachozungumza Kama nje kuna video nyng chafu tu ila nafkr basata nd linasimamia shughuli zote z kisanaa na msanii mwnywe kwhyo n kma vle wasanii wetu wanakua wameingia kamkataba na basata hvy miongon mwa vigezo na mashart inabid kuzingatiwa..kwhy itakua inasimamia wasanii w ndan tu na sio wa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…