mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Safi sana BASATA kumfungia huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hapo ni siasa......Ney wa Mitego alizunguka nchi nzima kumnadi Lowassa naona sasa ndio anapata konsekwensezi. Kwani nyimbo ngapi ziko ovyo tu hazifungiwi.
nimesikia pia kipindi cha XXL cha Clouds FM wakisema. siungi mkono hii kitu sababu Nay atakuwa na watu wengi wanamtegemea kwenye sanaa yake, ningemshauri Nay awaombe radhi basata au aende kwenye vyombo vya sheria,
basata pia watumie busara, inakuwaje nyimbo tu zinafanya msanii anafungiwa daima!
Kumfungia ndio kumfanyaje ......ufafanuzi wadau.
Mimi ninachojiuliza ni hivi mtu yeyote huko duniani akitunga wimbo wenye 'maudhui' yaliyo tofauti na Tanzania hairuhusiwi kuusikiliza hapa!? Tuchukulie uko katika lugha tofauti na kama tunavyojua wanamuziki ni wengi duniani na kila mmoja anatoa wimbo wake. Sasa Ney wa Mitego sijui akienda akarekodi wimbo tuseme Amerika, Ulaya, Asia nk wakaupenda alafu TZ na basata yetu tukaupinga, hao basata wataenda huko duniani kuwaambia wamiliki wa tv, maredio na mitandao kuwa "huo wimbo mnaupenda lakini sisi TZ tumeupiga marufuku na nyie hamruhusiwi kuusikiliza"!
Mbali na hapo ni kuendelea kushikilia mitizamo finyu ya kuamini kuwa ukimhoji shoga unapelekea ushoga kushamiri wakati ulikuwepo kabla hata redio hazijakuwepo.
Ahsante kwa kunifungua macho, kumbe jukumu lingine la BASATA ni kuuguza wasanii.Sheenzy, wanachojua ni kufungia wasanii tu..
Akina BANZA STONE waliumwa mpaka wakateketea lakini hawakutoa hata sabuni...
Sioni Umuhimu wao zaidi ya kurudishana nyuma tu
Haya, hebu niambie wewe unaejua kazi zao, kuna kingine kipi wanachokifanya zaidi ya kufungia nyimbo za wasanii??Ahsante kwa kunifungua macho, kumbe jukumu lingine la BASATA ni kuuguza wasanii.
Unaiongelea Tanzania kama kisiwa kilicho na mafaniko makubwa ambapo kila mmoja anatamani aje hapa.Aende aendako, apige nyimbo zake mbofu mbofu kokote apendako lakini akirudi tu hapa home, kibano na wimbo wake hautaona air waves za tz, mbona rahisi tu hiyo, tanzania first, hatuwezi kwa kustereotype mila, desturi na maadili ya watu wengine, we are unique and special. Big up Basata
Jipe muda utafakari kwa undani sana impact ya maagizo haya ya kufyatuka!kile kinachokomaliwa sana na kina mbowe kua rais ni dikteta kina uhalisia kiasi gani? kwa uchunguzi wangu nimegundua kua sijathirika kwa namna yoyote na huo uitwao udikteta wa rais. tahadhari yangu isijekua tunacheza wimbo ambao anaujua mpigaji tu!
Unaiongelea Tanzania kama kisiwa kilicho na mafaniko makubwa ambapo kila mmoja anatamani aje hapa.
Huo utamaduni unaousema unapatikana kwenye makabila lakini sisi kama nchi tume discourage ukabila na makabila na ndio maana sio ajabu 90% ya vijana walio chini ya miaka 30 wanaosemekana kuwa zaidi ya 65% ya idadi ya watu hawajui lugha zao za asili. Hii inaweza kukupa picha ya kinachoitwa 'utamaduni' kwa nchi yetu!
Pia angalia ushiriki wetu katika matukio ya dunia kama matamasha, Olympic, siasa vyote ni kupeleka bendera to ili nasi tuonekane tupo lakini sio kwenda kushindana na kuwashinda wengine a mbao tunasema eti wana 'utamaduni mbaya'.
Samahani naandika hata visivyohusika lakini hoja ni kwamba censorship ya vitu hasa kazi za wasanii ni kitu kigumu sana maana inatakiwa watakaosimamia hilo zoezi wawe na uwezo kama wa malaika lakini sote tunajuana na tunamuona JPM na Prof. Ndalichako wanavyoangaika na vi'la.za kutoka taasisi hizi then utegemea watakuwa na uwezo wa kujua huyo 'bwana mitego' kakosea wapi! Nadhani strategy nzuri ni kuwawezesha watu wa kawaida kuelewa baya na zuri na hapo ndipo labda wadada wanaoigiza kukaa uchi watapungukiwa na followers kwenye Instagram!
Tatizo hapo ni siasa......Ney wa Mitego alizunguka nchi nzima kumnadi Lowassa naona sasa ndio anapata konsekwensezi. Kwani nyimbo ngapi ziko ovyo tu hazifungiwi.
Kimsingi nakubaliana na maoni yako, hata kama watendaji wetu ni wale wale tu bora liende lakini tukubali ni lazima tuanzie mahali, mambo haya yasipokemewa kwa kisingizio kwamba Tanzania sio kisiwa au in the guise of globalisation, tutakuwa tunajikataa kama taifa, nina imani miongoni mwetu wapo watanzania wazuri tu ambao ni fucused wanaoweza kuwa "moral keepers" wa taifa letu. Nchi yetu ililemaa kwa sababu hakuna aliyekubali kusema hili si jema kwa kuogopa visasi vya wenye maslahi, tumekosea lakini tunaweza kujisahihisha na kusonga mbele kwa weledi, maadili nyoofu na nidhamu. Asante kwa maoni yakoUnaiongelea Tanzania kama kisiwa kilicho na mafaniko makubwa ambapo kila mmoja anatamani aje hapa.
Huo utamaduni unaousema unapatikana kwenye makabila lakini sisi kama nchi tume discourage ukabila na makabila na ndio maana sio ajabu 90% ya vijana walio chini ya miaka 30 wanaosemekana kuwa zaidi ya 65% ya idadi ya watu hawajui lugha zao za asili. Hii inaweza kukupa picha ya kinachoitwa 'utamaduni' kwa nchi yetu!
Pia angalia ushiriki wetu katika matukio ya dunia kama matamasha, Olympic, siasa vyote ni kupeleka bendera to ili nasi tuonekane tupo lakini sio kwenda kushindana na kuwashinda wengine a mbao tunasema eti wana 'utamaduni mbaya'.
Samahani naandika hata visivyohusika lakini hoja ni kwamba censorship ya vitu hasa kazi za wasanii ni kitu kigumu sana maana inatakiwa watakaosimamia hilo zoezi wawe na uwezo kama wa malaika lakini sote tunajuana na tunamuona JPM na Prof. Ndalichako wanavyoangaika na vi'la.za kutoka taasisi hizi then utegemea watakuwa na uwezo wa kujua huyo 'bwana mitego' kakosea wapi! Nadhani strategy nzuri ni kuwawezesha watu wa kawaida kuelewa baya na zuri na hapo ndipo labda wadada wanaoigiza kukaa uchi watapungukiwa na followers kwenye Instagram!
Tatizo liko pale pale bado, kuiita 'spade kijiko kikubwa'.Kimsingi nakubaliana na maoni yako, hata kama watendaji wetu ni wale wale tu bora liende lakini tukubali ni lazima tuanzie mahali, mambo haya yasipokemewa kwa kisingizio kwamba Tanzania sio kisiwa au in the guise of globalisation, tutakuwa tunajikataa kama taifa, nina imani miongoni mwetu wapo watanzania wazuri tu ambao ni fucused wanaoweza kuwa "moral keepers" wa taifa letu. Nchi yetu ililemaa kwa sababu hakuna aliyekubali kusema hili si jema kwa kuogopa visasi vya wenye maslahi, tumekosea lakini tunaweza kujisahihisha na kusonga mbele kwa weledi, maadili nyoofu na nidhamu. Asante kwa maoni yako
Hivi unaweza kumpangia msanii nini cha kuimba!? je, unataka kusema akina dada wa Kitanzania wana tabia njema na hawapaswi kuguswa!? Labda preference yake ni akina dada, mbona daimondo anaimba mambo ya mapenzi tu badala ya nyimbo za kuhamasisha kilimo na usafi kuepuka kipindupindu na hakuna anayemlaumu!sio kweli kabisa ,japo sikubaliani na hii serikali ila sikubaliani zaidi na sababu zako,Ney amekuwa msanii mpuuzi na asie na nidhamu kwa kina mama ,nyimbo zake nyingi zimekuwa za kudhalilisha wanawake zaidi,hakuna wimbo wake kaimba kwa kuwapa sifa zaidi ya kejeli,kwa hili BASATA walichelewa sana kumfungia huyu
Admnistrative strategy of sanctions and rewards can work better kuliko kusema tusubiri tuwe perfect. We may never get there if we dont put our foot forward then the next to kick off the journey! And that journer has to start today rather than tommorow!Tatizo liko pale pale bado, kuiita 'spade kijiko kikubwa'.
Ukisema "kibaka huyu anavuta bangi" hakuna atakayetilia shaka hiyo kauli lakini ukisema "rais MTK anavuta bangi" utasikia wanakwambia huwezi kumsema waziri hivyo maana ni 'symbol' ya taifa. Je, kama kweli anavuta!?
Hapo ndipo penye changamoto maana kilichopo kipo hivyo kujiuliza kimekuwepo vipi na tukiondoe vipi ndio njia sahihi badala ya kukificha kisionekane!