Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), lililo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, limetoa wito rasmi kwa wasanii na wadau mashuhuri wa sanaa nchini wakiwemo Nandy, Harmonize, Director Kenny, na Millen Magese.
Wito huo unawataka kufika bila kukosa katika Jengo la Utumishi, lililopo Barabara ya Kivukoni namba 8, siku ya Jumanne, tarehe 22 Septemba 2026 kuanzia saa 08:00 mchana. Hatua hii imechukuliwa na mamlaka hiyo inayosimamia sekta ya sanaa nchini kwa ajili ya kukutana na wadau hao, ikisisitiza kauli mbinu yake kuwa sanaa ni ajira, biashara, na uchumi.