Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
HIYO BASATA SASA IMEKUWA BAKWATABaraza la Sanaa la Taifa (BASATA), lililo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, limetoa wito rasmi kwa wasanii na wadau mashuhuri wa sanaa nchini wakiwemo Nandy, Harmonize, Director Kenny, na Millen Magese.
Wito huo unawataka kufika bila kukosa katika Jengo la Utumishi, lililopo Barabara ya Kivukoni namba 8, siku ya Jumanne, tarehe 22 Septemba 2026 kuanzia saa 08:00 mchana. Hatua hii imechukuliwa na mamlaka hiyo inayosimamia sekta ya sanaa nchini kwa ajili ya kukutana na wadau hao, ikisisitiza kauli mbinu yake kuwa sanaa ni ajira, biashara, na uchumi.
View attachment 3675668
ok.πBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA), lililo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, limetoa wito rasmi kwa wasanii na wadau mashuhuri wa sanaa nchini wakiwemo Nandy, Harmonize, Director Kenny, na Millen Magese.
Wito huo unawataka kufika bila kukosa katika Jengo la Utumishi, lililopo Barabara ya Kivukoni namba 8, siku ya Jumanne, tarehe 22 Septemba 2026 kuanzia saa 08:00 mchana. Hatua hii imechukuliwa na mamlaka hiyo inayosimamia sekta ya sanaa nchini kwa ajili ya kukutana na wadau hao, ikisisitiza kauli mbinu yake kuwa sanaa ni ajira, biashara, na uchumi.
View attachment 3675668
Ile si ni nguo ila iko rangi ya mwili au?Nilihisi pia.. Nandy katuonesha mpaka mavuzi stejini ππππ
Raia mnaconnection nyingiii dahNilihisi pia.. Nandy katuonesha mpaka mavuzi stejini ππππ
Mtetezi wa machoko na wasagaji jfIle si ni nguo ila iko rangi ya mwili au?
Haswaa.Mtetezi wa machoko na wasagaji jf
π― π― π― π―Haswaa.
kwanini wametumia picha zao za zamani ?Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), lililo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, limetoa wito rasmi kwa wasanii na wadau mashuhuri wa sanaa nchini wakiwemo Nandy, Harmonize, Director Kenny, na Millen Magese.
Wito huo unawataka kufika bila kukosa katika Jengo la Utumishi, lililopo Barabara ya Kivukoni namba 8, siku ya Jumanne, tarehe 22 Septemba 2026 kuanzia saa 08:00 mchana. Hatua hii imechukuliwa na mamlaka hiyo inayosimamia sekta ya sanaa nchini kwa ajili ya kukutana na wadau hao, ikisisitiza kauli mbinu yake kuwa sanaa ni ajira, biashara, na uchumi.
Wabongo bhana,tumieni miwani,Nilihisi pia.. Nandy katuonesha mpaka mavuzi stejini ππππ
Aisee wabongo wakishupalia jamboπIle si ni nguo ila iko rangi ya mwili au?
Yaan nachoka kwa kweli. πππAisee wabongo wakishupalia jamboπ
Tatizo wanakurupuka.