BASATA yawataka Nandy, Harmonize, Director Kenny na Millen Magese kufika ofisini kwake

Unacheza aisee..akili hiyo wapate wapi?....
Hawa wakiona wasanii wameacha matako wazi ndio utawaona....
 
Unacheza aisee..akili hiyo wapate wapi?....
Hawa wakiona wasanii wameacha matako wazi ndio utawaona....
Ndiyo maana hii Nchi kupiga hatua sio leo

Wale wenye tools za kusaidia Nchi kusonga mbele, wamekuwa vihiyo

Ndiyo maana kichwa cha mwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…