Kwa Nandy nguo za Skin custom ni culture iliyokuwepo miaka ya 2010 hivi wasanii kama kina Beyonce,Lady Gaga,Rihanna wamezivaa sana ila huku Nongwa..Nandy hawez kuwa hana akili timamu avae nguo inamuonyesha uchi vile
Wabongo utawaweza kwa ushamba, jana nilikuwa Nairobi zile nguo wanavaa wadada kule mchana wa jua kali ingekuwa bongo makelele yangekuwa mengi sana, ni mwendo wa vitovu wazi tu!