ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
- #41
Duka langu maalum kwa vyomboHiyo nlichanganya na wine moja barepo duuuuu nlihisi joto mwili mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duka langu maalum kwa vyomboHiyo nlichanganya na wine moja barepo duuuuu nlihisi joto mwili mzima
Okay sawa mzee..pole,pombe sio chaiBiashara ndogondogo katika minada
Nimeiulizia dukani hawaijuiUshapiga white wine ya value ina 20%
Ha ha braza wewe si ulisema una exit unaenda ku recharge battery zako ndio urudi,. Pole sana.Jana mida ya asubuhi hata chai sijanywa nikapita shop nikanunua pombe Kali yenye alcohol 35% nikawa nakunywa mdogomdogo naelekea kazini baadae mida ya saa tano nkatoka kazini nikarudi kijiweni kuendeleza ligi nikanunua kijini (gen) kingine ikumbukwe pombe zangu sii gharama sana buku 2500 tu au 3000 huwa sikweri.kufika mchana si ndio pombe ikapanda nikaanza kujisikia kuchemka nikanunua ubwabwa kwa mama ntilie nikaonja kidogo nikajisikia kichefuchefu ghafla mwili ukachemka ni kinyama.nikaanza kuona dunia inaranda nikaanza kuona mapigo ya moyo yanaenda Kasi ya ajabu pressure ya moyo mpaka nasikia nimelegea.nikajisemea moyoni Leo mjanja nimenaswa Leo nakufa.nikachukua simu yangu Nika uninstall fasta app ya Jf maana sikutaka nikifa wanandugu waje kuona thread nilizokuwa naanzisha.nikafuta na picha za ngono zote nilizokuwa nazo.simu ikabaki clear nikaenda sehemu nikalala hapo nasikia joto la ajabu na jasho usipime.nikapagawa mpaka nikajinyea kidogo nikaona Leo naaga dunia akapita jamaa mmoja nikamwachia wosia Nika mwambia kama nikifa naomba mpigie simu mama angu umwambie nikampa password ya simu nikamwambia nikifa ai restart simu yote.nikamtuma jamaa aniletee maji ya kunywa nilivyokunywa maji nikatulia kidogo kama usingizi ukanipitia dakika tano nikajikuta nimeamka na ile homa ikaisha nikagundua kumbe ilikuwa ni dehydration tu nikapona nikalia kwa Mungu nikamuomba msamaha kuanzia jana sirudii tena kunywa pombe
Moral of the story:kuweni makini sana wanywa pombe na wavuta sigara kwani zinaua sana Jana ndo nimegundua jinsi zinavoua.
Ni kweli nilipitiwa.siwezi kumsingizia shetani ni ujinga wangu nahitaji msaada wa kisaokolijiaHa ha braza wewe si ulisema una exit unaenda ku recharge battery zako ndio urudi,. Pole sana.
Yote ayo yamesababishwa na CCM pombe Kali + wanawake wazeeJana mida ya asubuhi hata chai sijanywa nikapita shop nikanunua pombe Kali yenye alcohol 35% nikawa nakunywa mdogomdogo naelekea kazini baadae mida ya saa tano nkatoka kazini nikarudi kijiweni kuendeleza ligi nikanunua kijini (gen) kingine ikumbukwe pombe zangu sii gharama sana buku 2500 tu au 3000 huwa sikweri.kufika mchana si ndio pombe ikapanda nikaanza kujisikia kuchemka nikanunua ubwabwa kwa mama ntilie nikaonja kidogo nikajisikia kichefuchefu ghafla mwili ukachemka ni kinyama.nikaanza kuona dunia inaranda nikaanza kuona mapigo ya moyo yanaenda Kasi ya ajabu pressure ya moyo mpaka nasikia nimelegea.nikajisemea moyoni Leo mjanja nimenaswa Leo nakufa.nikachukua simu yangu Nika uninstall fasta app ya Jf maana sikutaka nikifa wanandugu waje kuona thread nilizokuwa naanzisha.nikafuta na picha za ngono zote nilizokuwa nazo.simu ikabaki clear nikaenda sehemu nikalala hapo nasikia joto la ajabu na jasho usipime.nikapagawa mpaka nikajinyea kidogo nikaona Leo naaga dunia akapita jamaa mmoja nikamwachia wosia Nika mwambia kama nikifa naomba mpigie simu mama angu umwambie nikampa password ya simu nikamwambia nikifa ai restart simu yote.nikamtuma jamaa aniletee maji ya kunywa nilivyokunywa maji nikatulia kidogo kama usingizi ukanipitia dakika tano nikajikuta nimeamka na ile homa ikaisha nikagundua kumbe ilikuwa ni dehydration tu nikapona nikalia kwa Mungu nikamuomba msamaha kuanzia jana sirudii tena kunywa pombe
Moral of the story:kuweni makini sana wanywa pombe na wavuta sigara kwani zinaua sana Jana ndo nimegundua jinsi zinavoua.
Akikunya pipi uyoUlivyojinyea ulikunya nini?
Shujaa 200 ina alicohol 42Hiyo pombe ya 2500-3000 alc 35 ni ipi
Ajitawaze tena huoni jinaHujasema kama ulijtawaza baada ya kujinyea mavi
Yaani huyu jsmaa, aliaga majuzi kwa nidhamu sana eti kichwa kinataji ku re boot ili system zikae sawa, kwa hiyo atatoweka kwa muda tusidhani kuna jambo baya. Kumbe ali exit huku halafi ameenda kufanya unyambilis kuleAjitawaze tena huoni jina
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16]Hold On Bro!!, kuna kitu umeruka vipi ulichamba??