GE2025 Bashe amuomba Rais Samia Nzega iwe mkoa. Rais Samia asema atalifanyia kazi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bora watu wa Bukene walipiga chini lile jamaa,imagine Bashe ndiye anaisemea Bukene ambayo siyo jimbo lake!!!

NB:Kahama ndiyo uwe mkoa halafu hao kina Nzega waendelee kuwa wilaya tu.
 
Bashe aende Somalia bhana!
Hawa tunawajua mambo yao! Kwa nini wanaiba pesa za wizara ya Kilimo kwa pamoja, halafu anajidai kuleta ombi la kuundiwa mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…