Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna uhaba wa malimao na ndimu katika nchi, hapa nilipo wanauza limao moja dogo 500, la kati 700 na kubwa buku! Hii haikubaliki, nimekunywa supu ya Samaki bila malimao na sasa nakula pilau yenye kachumbari bila limao!
Bashe na waziri wa biashara chukueni hatua za dharura malimao yapatikane popote hata nje ya nchi kupunguza huu uhaba.
Bashe na waziri wa biashara chukueni hatua za dharura malimao yapatikane popote hata nje ya nchi kupunguza huu uhaba.