Hivi bunge bado linakuwepogi?JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa.
Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa yoyote kuhusu utoaji wa vibali vya sukari baada ya Mahakama kumsafisha kuhusika na tuhuma hizo.
Hivi Tanzania kuna mahakama ?.JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa.
Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa yoyote kuhusu utoaji wa vibali vya sukari baada ya Mahakama kumsafisha kuhusika na tuhuma hizo.
Rushwa ilianzia kwa Abdul hakuna namnaJAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa.
Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa yoyote kuhusu utoaji wa vibali vya sukari baada ya Mahakama kumsafisha kuhusika na tuhuma hizo.
Sidhani kama zipo.Hivi Tanzania kuna mahakama ?.
Tangu mwanzo hakuwa na kashfa maana ilikuwa tuhuma tu.JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa.
Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa yoyote kuhusu utoaji wa vibali vya sukari baada ya Mahakama kumsafisha kuhusika na tuhuma hizo.
Pia soma
- Nani yuko nyuma ya kashfa ya Sukari?
Ndio lugha ya wapi hii?Hivi bunge bado linakuwepogi?
Ya hapa nyumbani na mke wangu.Ndio lugha ya wapi hii?