Bashe anaumwa nini kwanini inakuwa Siri?

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
196
Reaction score
346
TAARIFA za kuumwa kwa Mheshimiwa Hussein Bashe zimetangazwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lakini hadi sasa haijawekwa wazi anaumwa nini na amelazwa hospitali gani ili watanzania wenye nafasi waweze kumtembelea kama ni hospitali.

Kwanini maradhi ya viongozi inakuwa siri lakini mtu akifa ndio mnakuja kutangaza na kutoa ratiba ya mazishi kumbuka vifo kama vya Dk. Ndugulile, Mafuru, Meja Jenerali Charles Mbuge na wengine tulikuja kutangaziwa msiba na ratiba ya mazishi.

Serikali itoke hadharani ieleze Bashe anaumwa nini na amelazwa hospitali gani kama ni ndani ya nchi au nje ya nchi ili watanzania wajue hali ya kiongozi wao.
 
Au yupo mzena?
 
Kasimu aliwahi kusema Magufuli yuko mzima wa afya apiga kazi kumbe jamaa yuko kwenye friji niliacha kumuamini kitambo.

Huenda Bashe yu buheri wa afya yuko kwenye biashara zake Nairobi
 
Mbona wewe ukiugua hatuambiwi ugonjwa wako, ilhali ni mtumishi wetu kabisa?
 
Ni ndugu Yako au ila sio Kila kitu tujue like serious unataka ujue kama ana mke pia kisa kiongozi wetu 😹 wtf
 
Ugonjwa wake,ulianzia hapa! Malizieni ...
 

Attachments

  • IMG-20250128-WA0054.jpg
    142.5 KB · Views: 1
Bora angesema tu Bashe kapata dharula kuliko huku kutangaza fulani mgonjwa!
 
Shetani hana Rafiki, ukikubali kuwa huko ni lazima ukubali kushikilia roho yako mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…