Bashe anaumwa nini kwanini inakuwa Siri?

Wewe ukiumwa nani huwa anatangaza habari za ugonjwa wako?
 
yeye ni mtumishi wa Umma na analipwa mshahara na umma na anatibiwa na umma hilo nalo ulikumbuke
Kuwa mtumishi umma na kulipwa mshahara na umma hakumaanishi pia kuingilia maisha binafsi ya mtumishi huyo. Umeshaambiwa anaumwa, basi inatosha. Unataka nini zaidi? Endapo mwenyewe au ndugu zake hawapo tayari kutaja ugonjwa wake, hakuna haja ya kulazimisha kutaka kujua zaidi ya hapo.
 
yeye ni mtumishi wa Umma na analipwa mshahara na umma na anatibiwa na umma hilo nalo ulikumbuke
Ugonjwa ni siri ya Ntu kusema au la. Nchii hii kuna Watumishi wangapi wa Uma ? Wote hao wakiumwa hutolewa taarifa zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…