GE2025 Bashe awashukia Wagombea wa CCM waliopondea Sera za Serikali kwenye Kura za Maoni: Ni hatari sana!

GE2025 Bashe awashukia Wagombea wa CCM waliopondea Sera za Serikali kwenye Kura za Maoni: Ni hatari sana!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Kili Hussein Bashe, awashukia Wagombea wa CCM waliopondea Sera za Serikali kwenye Kura za Maoni, asema ni hatari sana!

 
Bashe ni mgombea kama wagombea wengine au yeye ndio msemaji wa chama?

Polepole anayoyasema kwa kiasi kikubwa ni kweli. Vyombo vya ulinza na usalama waache uzwazwa, huku tulishatoka na kazi ngumu ilifanyika kututoa huku.
 
Huyu mkimbizi anajifanya ana uchungu sana wa raia wa Tanzania kuliko watanzania wenyewe?
 
Bashe huna akili, kwa hiyo hiyo tirioni moja ya korosho waliyopata wakulima serikali haifaiki nayo?
 
Waengu
Waziri wa Kili Hussein Bashe, awashukia Wagombea wa CCM waliopondea Sera za Serikali kwenye Kura za Maoni, asema ni hatari sana!

Waenguliwe ht km wameongoza kura za maoni. Ni wengi wametumia rushwa ya kutisha mfano mbunge wa jimbo la Mbulu mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay ametumia hela nyingi sana kila mwenyekiti wa kitongoji alipewa Milioni 6, halafu mtu mbumbumbu wa darasa la 7
 
Huyu Msomali tangu lini kawa msemaji wa CCM.
Halafu huyu msomali anaongea anafokea wananchi wanaohoji uhalali wa stakabadhi gharani na unyonyaji wanaowafanyia wananchi anawatishia eti utaratibu upo kwa mjibu wa sheria !!! Hizo sheria waliohusika kuzitunga walijadiliana na wananchi kwenye majimbo yao kisha wakaridhia kabla ya kwenda bungeni kupitisha miswada hiyo ya serikali yenye lengo la kudhulumu?
 
Back
Top Bottom