Bashe jitokeze utueleze ulipofikia na BBT

Bashe jitokeze utueleze ulipofikia na BBT

Nimepita juzi kwenye Mradi wa BBT Dodoma Chinangali, Hakuna zao walilootesha mpaka sasa, wameishia kujenga uzio na nyumba za kuishi kama apartments! Sasa najiuliza kuna Mkulima kweli pale? Hakuna cha trekta Au watu wanapiga jembe!!? Usanii mtupu! Hii project ikaguliwe na CAG na kama kuna upigaji wahusika wawajibishwe.
Nilipita hapo chinangali pia nikaona ni kama eneo lililotelekezwa vita ya pili ya dunia
 
Nilipita hapo chinangali pia nikaona ni kama eneo lililotelekezwa vita ya pili ya dunia

[emoji16][emoji16][emoji16]
Mheshimiwa anajiandaa na uchaguzi 2025 unatarajia hela atoe wapi? Na wale vijana “wakulima wa mchongo” hawaonekani pale. Hakuna dalili ya wakulima wanaochapa kazi pale.
 
Hatimaye yametimia. Hakuna BBT wala chochote. Watu wansema lengo limetimia maana wameshaiba vya kutosha.
Wamejenga vituo vya mafuta., wamenunua kiwanda cha Tumbaku kwa pesa za wizara ya Kilimo. BBT haipo tena.

Yaani eti Bashe awe na mpango wa kilimo nchi hii, kweli? Mtu aliyesoma masoko Muzumbe!
 
Back
Top Bottom