The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlilazimishwa kukopesha Serikali? Kazi inaendelea 👇👇Mwambieni alipe wafanyabiashara wa mahindi Rukwa 23/24.Aaache ujinga.msimu umefika,hakuna mbegu wala mbolea uku
Kwanza nyie wafanyabiashara hata msipolipwa ni sawa maana mnawadhulumu wakulima.Mwambieni alipe wafanyabiashara wa mahindi Rukwa 23/24.Aaache ujinga.msimu umefika,hakuna mbegu wala mbolea uku
Jadili hoja Wacha ujinga 👇👇Kwahio Samia hataki Utani.., yeye ambaye kapewa hio kazi anataka Utani ?
Yaani watu ambao tuliwategemea waje na vitu concrete na substantial solutions wamegeuka wana taarabu....; Overpaid, Underperforming Prima Donnas....
Jadili hoja Wacha ujinga 👇👇
View: https://x.com/manywele_ze/status/1867955123252580727?t=lQv1npiO-CCPtSuCd13cJw&s=19
Hatuwezi kuwa Nchi ya kipaombele Cha Kila zao,hakuna Nchi inafanya ujinga huo hapa Duniani.👇👇Kama haujaona hapo Hoja nadhani wewe ndio unaleta Vioja Waziri analeta story za utani na lack of wakati katika sekta yake watu wanakosa masoko (Vanilla et al); Pia issue ni lack of uzalishaji au bei na zenyewe sio fit kwa wakulima..., Juzi tu hapa walikuwa na ngonjera za kuuza nje mara kutokuuza n.k...., busy talking the talk..., Na wale watu waliochukuliwa kwenda kuwekwa kwenye mashamba waliishia wapi ? Au ndio Project baada ya Project kumbe mwisho wa siku Miradi ndio MIRADI
Hakikisha kuna market ya product ya uhakika kila mtu atakwenda kulima wala hatahitaji kuambiwa.., ila ndio hivyo wako busy kwenye propaganda....