Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Chakula bado bei juu haya mavi ongozisijui yanawazaga Nini?
 

View: https://x.com/TaifaDaily/status/1832004567472423254?t=Mfxk9wgZhfE3So38eZJEYw&s=19
 
Kama kweli mmeamua wekeni skimu za umwagikiaji kila halmashauri nchini - ili vijana waondoke mijini kutuuzia soksi na boxer wakafanye kazi mashambani kwa ubia na serikali.
 
Mkuu Tindo anaamini kabisa CCM inaiba chaguzi inazoshinda. Wizi wa kazi gani ikiwa haya yaliyoandikwa yanatekelezwa kwa vitendo?.
 
Samia anafanya kazi za maana sana, watu wa mijini haswa Dar na Arusha wanasubiri tu yatokee mabaya ili waanze msururu wa ukosoaji na lawama.

Hayati JPM akiwa ni mwanaume aliweza sana kuitangaza kazi yake kwa kila mtu. Samia akiwa ni mwanamke anapungukiwa na uwezo wa kuinadi kazi yake ikasikika kwa kila mtu.

Ni tofauti ya maumbile lakini haifuti mema mengi anayofanya SSH kimya kimya huko mikoani.

Hili suala la Mkomazi nimelisikia kitambo sana, tangu awamu ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…