Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Samia anafanya kazi za maana sana, watu wa mijini haswa Dar na Arusha wanasubiri tu yatokee mabaya ili waanze msururu wa ukosoaji na lawama.

Hayati JPM akiwa ni mwanaume aliweza sana kuitangaza kazi yake kwa kila mtu. Samia akiwa ni mwanamke anapungukiwa na uwezo wa kuinadi kazi yake ikasikika kwa kila mtu.

Ni tofauti ya maumbile lakini haifuti mema mengi anayofanya SSH kimya kimya huko mikoani.

Hili suala la Mkomazi nimelisikia kitambo sana, tangu awamu ya pili.
Kishindo chake kinasikika kutoka huko Mkomazi 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAyT4ikKR7H/?igsh=MWZtcTdoNzBidHdqaQ==
 
Hussein Bashe ni moja Mawaziri wanaoacha athari chanya kwenye sekta ya Kilimo. Muda ni mwalimu mzuri.
 
Akizungumza Leo huko Kigoma, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia hafanyi Utani na Amedhamiria kumkomboa mkulima wa Tanzania Kupitia Kilimo Cha Umwagiliaji.

Waziri Bashe ameyaswma hayo wakati akimkabidhi mradi Mkandarasi anaejenga skimu ya Umwagiliaji ya Luiche yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 65.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9r9lNsKy89/?igsh=Y3IyOWs3OWw0czZi

Pia soma Mpanda: Rais Samia Asema Tunatoka Kwenye Kilimo cha Mazoea Cha kula na Kujikimu tunaelekea Kwenye Kilimo Biashara na Umwagiliaji

Kati ya mambo mengi ambayo yametwkelezwa awamu ya 6 ni ,

1.Kuonge Bajeti ya Kilimo kutoka Bili.370 Hadi Trilioni 1.2(zaidi ya Bilioni 400 Zinaenda kwenye Umwagiliaji)

2.Mama anajenga zaidi ya hekta 500,000 za Umwagiliaji kwa.moigo kutoka hekta 700,000 zilizopo Toka uhuru

3.Kuanzisha Mnada wa Chai hapa Tanzania,awali ulikuwa Mombasa Kenya

4.Tanzania kuwa namba 2 Africa Kwa uzalishaji wa Tumbaku na parachichi.

5.Kuanzisha Mpango wa ruzuku ya mbolea na mbegu

6.Kuanzisha Mpango wa kujenga na kuhifadhi Tani za mazao kutoka 250,000 Kwa mwaka Hadi zaidi ya metric tons 1,000,0000 Kwa mwaka huku lengo likiwa ni Tani Milioni 3 by 2030.

7.Kufufua mashamba ya mbegu za Serikali Kupitia ASA

8.Kuongeza pesa za Utafiti kwenye Vyuo vya Kilimo.na Utafiti.

9.Kununua Vitendea kazi,Kujenga makazi na kuajiri Watumishi (Wahandisi) ambao wanasimamia Kilimo huko Wilayani.

10.Kuanzisha Programu ya BBT Kwa Vijana

11.Kushushwa Kwa riba ya mikopo ya sekta ya Kilimo kutoka 20% Hadi 9%


View: https://twitter.com/shambamedia/status/1821596133673623663?t=GEDo89OUGy8fG109kMxObQ&s=19

My Take
Safari ya Tanzania kuwa ghala la kulisha Afrika inaendelea.

Kauli mbinu zilizozoeleka zinatekelezwa Kwa Vitendo.

Hongera Samia, Hongera Bashe Kwa kuitimiza ndoto ya Baba wa Taifa Kwa vitendo,ajenda 10/30 kazi inaendelea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_8YT4LsQb4/?igsh=MXJueHJydWg5dXdpYw==

Kama tukishindwa kwenye kilimo wakati huu hakuna tena mwaka tutaweza kilimo kimekuwa ni ajira rasmi, Rais Samia ni mkulima halisi amewekeza vingi kwenye kilimo.
 
Back
Top Bottom