ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #221
Ipo inaendelea kwani Kila siku itakuwa ni habari ya BBT?BBT IMEISHIA WAP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo inaendelea kwani Kila siku itakuwa ni habari ya BBT?BBT IMEISHIA WAP
blah blahAkizungumza Leo huko Kigoma, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia hafanyi Utani na Amedhamiria kumkomboa mkulima wa Tanzania Kupitia Kilimo Cha Umwagiliaji.
Waziri Bashe ameyaswma hayo wakati akimkabidhi mradi Mkandarasi anaejenga skimu ya Umwagiliaji ya Luiche yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 65.👇👇
=======
Waziri wa Kilimo Bashe Hussein amewahakikishia Watanzania kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hssan amedhamiria kuleta mapinduzi sekta ya umwagiliaji, hivyo miradi yote aliyoahidi itatekelezwa.
Waziri Bashe amesisitiza utekelezaji wa miradi hiyo unaofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji si hadithi bali umelenga kuinua sekta ya Kilimo cha Umwagiliaji na kuchochea ukuaji wa uchumi nchini.
Ameitakata Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kujipanga kuhakikisha wanatekeleza miradi hiyo na wananchi wapuuze wanaowalaghai kuuza mashamba.
Waziri Bashe amesema hayo wakati akizungumza na wadau wa umwagiliaji katika eneo la mradi wa Luiche, ambapo amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha utekelezaji wa mradi huo
"Leo tumefanya uzinduzi wa mradi mkubwa wa umwagiliaji katika bonde la Luiche wilayani Kigoma katika mkoa wa Kigoma, miradi hiyo yenye thamani ya zaidi ya bilioni 60 itakwenda kunufaisha zaidi ya wakulima 9312 kupitia kilimo cha umwagiliaji," amesema Waziri Bashe.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Raymond Mndolwa, amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha utekelezaji wa mradi wa bonde la Luiche, ambao umekuwa ukizungumzwa toka nchi ilipopata Uhuru na kwamba uwekezaji huo mkubwa uliyofanywa na serikali unakwenda kuleta mapinduzi makubwa kiuchumi kwa wananchi wa Kigoma.
Pia soma Mpanda: Rais Samia Asema Tunatoka Kwenye Kilimo cha Mazoea Cha kula na Kujikimu tunaelekea Kwenye Kilimo Biashara na Umwagiliaji
Kati ya mambo mengi ambayo yametwkelezwa awamu ya 6 ni ,
1.Kuonge Bajeti ya Kilimo kutoka Bili.370 Hadi Trilioni 1.2(zaidi ya Bilioni 400 Zinaenda kwenye Umwagiliaji)
2.Mama anajenga zaidi ya hekta 500,000 za Umwagiliaji kwa.moigo kutoka hekta 700,000 zilizopo Toka uhuru
3.Kuanzisha Mnada wa Chai hapa Tanzania,awali ulikuwa Mombasa Kenya
4.Tanzania kuwa namba 2 Africa Kwa uzalishaji wa Tumbaku na parachichi.
5.Kuanzisha Mpango wa ruzuku ya mbolea na mbegu
6.Kuanzisha Mpango wa kujenga na kuhifadhi Tani za mazao kutoka 250,000 Kwa mwaka Hadi zaidi ya metric tons 1,000,0000 Kwa mwaka huku lengo likiwa ni Tani Milioni 3 by 2030.
7.Kufufua mashamba ya mbegu za Serikali Kupitia ASA
8.Kuongeza pesa za Utafiti kwenye Vyuo vya Kilimo.na Utafiti.
9.Kununua Vitendea kazi,Kujenga makazi na kuajiri Watumishi (Wahandisi) ambao wanasimamia Kilimo huko Wilayani.
10.Kuanzisha Programu ya BBT Kwa Vijana
11.Kushushwa Kwa riba ya mikopo ya sekta ya Kilimo kutoka 20% Hadi 9%
=====
My Take
Safari ya Tanzania kuwa ghala la kulisha Afrika inaendelea.
Kauli mbinu zilizozoeleka zinatekelezwa Kwa Vitendo.
Hongera Samia, Hongera Bashe Kwa kuitimiza ndoto ya Baba wa Taifa Kwa vitendo,ajenda 10/30 kazi inaendelea 👇👇
Unaweza onesha blaa blaa unazozisema? 👇👇blah blah
CCM?
Bashe?
Get the fvck outta here!
Wataingiza mbolea ikauzwa Kwa bei ya ruzuku kama hawajalipwa au hakuna commitment ya kulipwa?Ww unakubali kweli 300 bil ungekaaa na makampuni na mawakala ndio ungejua kweli hzo pesa au uongo
Unaweza onesha blaa blaa unazozisema? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBQKw0OtwI7/?igsh=NzB5aDNqNTR5ejNo
Unaweza onesha blaa blaa unazosisema? Kati ya hao na wewe nani mjinga na analeta blaa blaa? 👇👇Ondoa ujinga hapa
Bashe,Samia,CCM,etc blah blah blah tupu
Get the fvck outta here!
Unaweza onesha blaa blaa unazosisema? Kati ya hao na wewe nani mjinga na analeta blaa blaa? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBO5WS7IwBW/?igsh=MXMwZGJjMG1qNzRjMA==
Wewe ndio mjinga,ujinga wangu uko wapi?Usinilazimishie ujinga
Kaa na ujinga wako
Unaweza onesha blaa blaa unazozisema? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBQKw0OtwI7/?igsh=NzB5aDNqNTR5ejNo
Haitafuta hizo alama , bahati nzuri mtaishia humu humu mitandaoni kwenye ground ni oya oya tuu👇👇Taka taka serikari ya kitapeli
Kuleta vitu vya kitapeli vya Bashe,Samia na CCMWewe ndio mjinga,ujinga wangu uko wapi?
Uzuri namba ndio zinaongea,porojo zako hakuna mtu anazipa attention 👇👇Kuleta vitu vya kitapeli vya Bashe,Samia na CCM
Tangu lini wakawa na akili?
Since when?
Uzuri namba ndio zinaongea,porojo zako hakuna mtu anazipa attention 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBgxBx1KpDt/?igsh=N2Rha3FoaTZtbDd4