ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #241
Kwa nini umustukie? Angalia matokeo yq kazi yake hapa 👇👇Mmmnh!
Tumeanza kumstukia.
View: https://www.instagram.com/p/DBv_buIi2uv/?igsh=MWFubjRjMjgwaWVhZQ==
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini umustukie? Angalia matokeo yq kazi yake hapa 👇👇Mmmnh!
Tumeanza kumstukia.
Kwa nini umustukie? Angalia matokeo yq kazi yake hapa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBv_buIi2uv/?igsh=MWFubjRjMjgwaWVhZQ==
Achana na upuuzi wa mpina ,hoja pekee ya maana ya Mpina ni mbegu fake na Kwa nini mbegu hizo fake ziuzwe bei kubwa.Umejaribu kufuatilia mvutano ulokuwepo na Mpina.
Je umeshamsikiliza Mpina na msingi wa hoja zake zidi ya huyo bwana ?!
Achana na upuuzi wa mpina ,hoja pekee ya maana ya Mpina ni mbegu fake na Kwa nini mbegu hizo fake ziuzwe bei kubwa.
Haina mashiko maana sukari ililetwaNa ile ya kampuni zisizo na sifa kupewa vibari vya kuingiza sukari nchini je ??
Kuna nini nyuma yake ?
Kwanini utaratibu usizingatiwe ?
Hata hivyo uongizwajwi wa sukari nchini kwa nini usiwe huru kila mwenye Mtaji aagize kwa nguvu ya soko ?
Kwanini waachwe watu wachache tu au mtu mmoja miaka yote ni yeye tu monopolist na kufaidika peke yake na wanae tu ?
Hii si Sawa ?
Au anakula na wakubwa ?
Mwambie huyo Bashe atulipe hela zetu sisi wakulima wa mahindi.Haina mashiko maana sukari ililetwa
Bila Serikali kununua mngepeleka wapi?Mwambie huyo Bashe atulipe hela zetu sisi wakulima wa mahindi.
Haina mashiko maana sukari ililetwa
Utaratibu sio muhimu kama uwepo wa sukariIshu sio kuletwa tu bali je ililetwa kwa kufuata utaratibu ulowekwa kwa mujibu ?
Wewe ni msomi ? Ingawa usomi si hoja sana siku hizi sababu ya mifumo ya utolewaji elimu iliyopo ni mashaka. !
Miongoni mwa namna ya kupima kuona iwapo kuna dalili ya rushwa kwenye manunuzi ya umma ni nini na nini ?
Mojawapo ni ukiukwaji wa taratibu zilizowekwa kama ulikuwa hujui.
Ingawa si kila Penye utaratibu kufuatwa itakuwa na maana Kwamba hapakuwa na vitendo vya rushwa pia hutegemea na other facts.
Utaratibu unaweza kufuatwa na vitendo vya rushwa kufanyika .
Lakini kutofuata utaratibu on the first place kutaashiria kwa kiasi kikubwa vitendo vya rushwa ?!
Serikali haijanunua imetukopa na haitaki kutulipa, soko lipo Zambia mpaka sasa kama una mzigo wa mahindi peleka bado wanauhitaji.Bila Serikali kununua mngepeleka wapi?
Ndio kununua huko,kwani ulilazimishwa Kupeleka ?Serikali haijanunua imetukopa na haitaki kutulipa, soko lipo Zambia mpaka sasa kama una mzigo wa mahindi peleka bado wanauhitaji.