Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Mkuu ngoja nikusaidie hujui kama mimi najua vijana wengi wametimuliwa wanalia mtaani mfano mradi wa kuweka nyuki kwenye mashamba ya alizeti ulifeli nina uhakika 100%
Alaf unasema wamepata m100 hao ni wangapi ukite vijana 100 ndio wamepata m100?!!
Kwani BBT ulikuwa ni mradi wa kugawa hela Kwa Vijana? Hao masharobaro wa mjini lazima watimuliwe wasalie wachache wenye passion ya kilimo tuu.

Walijipelela pale wakijua Serikali inagawa pesa 😂😂
 
Kwani BBT ulikuwa ni mradi wa kugawa hela Kwa Vijana? Hao masharobaro wa mjini lazima watimuliwe wasalie wachache wenye passion ya kilimo tuu.

Walijipelela pale wakijua Serikali inagawa pesa 😂😂
😄 🤣 😂 😆 sio usharobaro vijana walitapeliwa kwa sounds za kisiasa sasa kilichomkuta kamala kitamkuta bimkora
 
Back
Top Bottom