Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amesema serikali inajenga kiwanda kikubwa cha kuchakata zao la Tumbaku mkoani Tabora, huku maandalizi yakiendelea kwa ujenzi wa kiwanda kingine cha kuzalisha mbolea ya zao hilo, ikiwa ni mkakati wa kuongeza uzalishaji na ubora wa Tumbaku ya Tanzania kwenye masoko ya Kimataifa hali itakayoinua uchumi wa wakulima wa Tumbaku, uchumi wa mkoa huo pamoja na taifa kwa ujumla.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025