Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ni sawa na shule ya msingi Manerumango Kisarawe, kila kitu kinakwenda kishuleshule.Huwa hakuna jipya zaidi ya teuzi na kutetea ugali kwa hadaa kibao
......Inasikitisha sana sana.
Uzomi wetu na wasomi weti imeshibdikana kuwa msaada kwa nchi.
Hivi kiongozi anaposimama hadharani na kusema.uongo anakusudia nini zaidi ya kujifedhehesha?
Sina tayizo na ziara ya mkuu wa nchi, shida yangu ni gao mawaziri walioamua kujivuka makoti ya uongo.
Miaka 62 ya Uhuru bado tunategemea mapinduzi ya kilimo chini ya bodi za mazao na madalali wa soko kweli?
Hii isgu ya sukari hakuna maelezo ya maana zaidi ya kutetea ugali tu hapo. Viwanda vya sukari vinahesabika na hakuna ziada ya ubunifu na uhuria wa soko.
Huyo wa kusema sanamu la Nyerere limefanana naye kwa asilimia 90% ni kujiaibisha. Unaweza kukuta walimpeleka Katibu Mtendaji wa BASATA ambaye kitaaluma ni mcheza ngoma kwenda kukagua hilo sanamu. Tufike mahala tuionee huruma nchi. Aibu tunayobeba ni kubwa sana sana. Msidhani wananchi wanakejeli hiyo sanamu, bali wamefadhaishwa na viongozi wetu kujitia UJUAJI na UJINIAZ wakati kila wanalolifanya aibu inaenda kwa Taifa