Bashe: Tumewalinda vya kutosha Wafanyabiashara wa Sukari, sasa wachague kuuza au kuacha, tunabadili Sheria

Ukimsikiliza Waziri Bashe na kama unataka kufahamu utaelewa Shida ipo Zamani Viogozi walopita hawakuliona hilo
 
Huyu bibi anasubiri uletewa taarifa Ikulu hafiki field? Hii ni mpya
 
Tanzania ni sawa na shule ya msingi Manerumango Kisarawe, kila kitu kinakwenda kishuleshule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…