Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
yaani mkuu . tuko very shalow tuna discuss upupu tu mambo ya maana hatutii miguu kabisaMafuta yanapanda tunajadili kofia na nguo rangi ya mabaka mabaka...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani mkuu . tuko very shalow tuna discuss upupu tu mambo ya maana hatutii miguu kabisaMafuta yanapanda tunajadili kofia na nguo rangi ya mabaka mabaka...
Mkuu umeingia kundi la makapuku waliozaliwa juzi?yaani mkuu . tuko very shalow tuna discuss upupu tu mambo ya maana hatutii miguu kabisa
Na ninyi Ma legend mpo kimya ndio maana hoja za ajabu ajabu kila kukicha...yaani mkuu . tuko very shalow tuna discuss upupu tu mambo ya maana hatutii miguu kabisa
Hata Ole Sabaya alianza hivyo hivyo kisha akanogewa!View attachment 2298340
Hapa Waziri kayakoroga!
Tuliopitia JKT ,tena kwa mwaka mzima, tunajua kuwa huwezi kuchanganya mavazi ya kijeshi na ya kiraia.
Hapo pichani gazeti ka Guardian leo page 2, waziri kavaa Olive Military uniform , halafu na kapelo ya mtaani.
Kwa hizi military uniforms inabidi JWTZ itoe mwongozo jinsi viongozi wanapozivaa wajue protokali na discipline zake.
Ningekuwa Generali ningemwambia Bashe awahi mwenyewe Quarter Guard.
hata kuvaa vazi linaloshabihiana na jeshi ni kosa kisheria.Mtoa hoja tafuta fedha mkuu achana na uroho mbaya na husuda, hilo vazi la waziri SIO military uniforms ya jeshi lolote hapa nchini, ni mavazi yanayofanana nayo, na after all nini athari yake?
Hizi ni effects za kuishi in a police state!hizi ni nguo kama nguo zingine, halafu acha uongo kusema ni kosa kisheria, sheria gani utakua umevunja?,nani mwathirika kama mimi nimeamua kuvaa camouflage clothes (sio army combat)Athenian kutishia watu kwa sheria kandamizi, kuna freedom nje kulehata kuvaa vazi linaloshabihiana na jeshi ni kosa kisheria.
Loooooo mkuuu, mimi nawe tufanye flash back ya maisha tuone nani ni pimbi wa juzi, nimesoma mnazi mmoja primary school(mzaliwa wa ocean road hosp)kipindi tutapata lunch twice a week, nimesomea Tambaza sec school, then mkwawa cne kipindi cha principal Mr.SA Mshana, nimeenda jkt 835kj chini ya CO col.Mtono, na nimepiga kura uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi!,na nimesikiliza music pale Iringa central bus station (kwa Mbata)na President wako (alikimbiza CM)Nami nilikuwa PC.wewe ni pimping wa juzi?weka hapa details zakoNyie vipimbi vya juzi hamjui mtokako wala mnakoelekea.
Unakaribishwa n camouflage yako sehemu yoyote karibu na kambi na uupate mziki wa reggae!
Kwa upimbi ulio nao huweki miaka.Loooooo mkuuu, mimi nawe tufanye flash back ya maisha tuone nani ni pimbi wa juzi, nimesoma mnazi mmoja primary school(mzaliwa wa ocean road hosp)kipindi tutapata lunch twice a week, nimesomea Tambaza sec school, then mkwawa cne kipindi cha principal Mr.SA Mshana, nimeenda jkt 835kj chini ya CO col.Mtono, na nimepiga kura uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi!,na nimesikiliza music pale Iringa central bus station (kwa Mbata)na President wako (alikimbiza CM)Nami nilikuwa PC.wewe ni pimping wa juzi?weka hapa details zako
Inafanana na ya jeshi la wanyamapoli na nadhani hii ndo ilipelekea mkuu wao kuonya watu wanaovaa mavazi yanayofanana na uniform zao, bila shaka alikuwa akimuonya Bashe.Mtoa mada njoo hapa utuambie hizo ni Uniform za jeshi gani?
Achana na Hilo lofa mkuuLoooooo mkuuu, mimi nawe tufanye flash back ya maisha tuone nani ni pimbi wa juzi, nimesoma mnazi mmoja primary school(mzaliwa wa ocean road hosp)kipindi tutapata lunch twice a week, nimesomea Tambaza sec school, then mkwawa cne kipindi cha principal Mr.SA Mshana, nimeenda jkt 835kj chini ya CO col.Mtono, na nimepiga kura uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi!,na nimesikiliza music pale Iringa central bus station (kwa Mbata)na President wako (alikimbiza CM)Nami nilikuwa PC.wewe ni pimping wa juzi?weka hapa details zako
Mkuu watu wanapenda military fatigues, lakini hizo zina protokali zake.Hivi naye ameanzisha jeshi la kilimo?