Bashe umefeli juu ya suala la chakula

mada muhimu inajadiliwa Kwa linear thinking
 
We fala unadhani kila mtu ni makalio kama wewe? Kama una ziada ya tani laki tatu sasa huu mfumuko utokee wapi?
Lugha ya hovyo, upeo huna ilimradi uhalalishe ujinga wako

Determinants wa mfumuko wa bei ni zaidi ya kilicho ghalani

Hasa kwenye free trade
 
Waache wakulina wafanye biashara
Na hapa ndio wengi mnachanganya wanaofanya biashara ya mazao siyo wakulima hata kidogo. Madalali na walanguzi ndio wanufaikaji wakubwa wa jasho la mkulima kuanzia korosho, mahindi, ufuta , alizeti n.k .wakulima wa nchi hii wataendelea kuwa masikini kama serikali haitangilia kati na kuacha kuwadanganya kwa mgongo huu wa kilimo biashara. Watanzania fanyeni utafiti kabla ya kuzungumza.
 
Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?
Wacha uvivu ingia shambani ukalime upunguze huo mfumuko wa bei za vyakula. Hakuna vya bure sasa.
 
Sasa kama sasa hivi mnakusanya tani laki tano bei ingeshuka. Mngeuza nje na ndani chakula kikawa kingi
Mvua zinanyesha, ardhi Iko plenty, nenda ukalime acha udwanzi wewe bazazi
 
Anaweza kuchangia kiasi fulani. Kipindi kama hiki mipaka hufungwa ili kilichopo kihudumie wa ndani
 
Mvua zinanyesha, ardhi Iko plenty, nenda ukalime acha udwanzi wewe bazazi
Kwani kulima ni lazima? Division of labour ipo naturally ndio maana kuna wavuvi, wachimba madini, walimu n.k. Tumia akili kufikiri acha kutumia nyeo
 
Bashe ajishugulishe na kupigania mazingira mazuri ya Kilimo sio porojo tu , kiufupi Bashe hakuna achievement yoyote aliyopata kwenye wizara ya Kilimo

Sema ana mdomo tu wa kuzungumza ila kwenye kilimo Hali ni mbaya , angeweka sera za kuvutia watu kwenye kilimo ila anachofanya ni kukatisha tamaa watu kwenye Kilimo

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Serikali ijitose kusimamia soko la mazao ya kilimo ili bei nzuri imfikie mkulima...kutakuwa hakuna haja ya kuweka ruzuku ya pembejeo kama mkulima anapata bei halisi ya soko...ondoeni watu wa kati...tengenezeni masoko rasmi ya mazao...zuia uuzaji na ununuzi holela wa bidhaa za kilimo nje ya masoko rasmi...Ruzuku ya pembejeo ya serikali ilenge kupunguza bei ya mazao kwa mlaji na sio kumpunguzia gharama za uzalishaji mkulima
 
Maybe unazungumzia hapo mjini kwa hapa Kakonko nilipo magari ya Rwanda, na Uganda hubeba nafaka asubuhi na jioni.
Nafaka gani sasa hivi zinatoka Kakonko kwenda Rwanda na Uganda? Maana mahindi ya Uganda ni bei rahisi kuliko ya Tanzania, na mihogo msimu wake bado


Mimi nipo Bukoba, Magari ya mahindi yanatoka Uganda kuja Tanzania sababu mahindi kule ni bei rahisi
 
Watanzania sijuj nani alituroga,yaani mnaona ufahari kulimia jembe Karne hii kweli!
 
Unawasaidiaje Wakulima wadogo bila kuimarisha ushirika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…