ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Natoka tahadhari Kwa Bashe, Waliokuwhikia Bango Kwa hoja za kizushi na upuuzi ndio hao hao waliokuwa wamemshikia Bango Mwigulu, January na Nape.
Sasa wanaona kabisa unaenda kuwa threats Kwa ambions zao za Kisiasa Kwa vile una deal na sekta ambayo inakufanya kukutana na kucheza na maslahi ya Moja kwa Moja ya wakulima ambao ndio wapiga kura..
Usije kuteteleka, wametumwa Kwa kazi hiyo so komaa maana wanaona Nyota Yako inaend akuwaka na namna pekee ya kukuharibia ni kutunga fitina, uzushi na hoja za kipuuzi.
Madam una backup ya Rais Kamatia hapo hapo sisi wakulima tunakuelewa sana.
Toka Umekuwa Waziri umekiheshimisha Kilimo na Vijana wengi Sasa na wakulima Kwa ujumla wamepata Imani kuwa Kilimo ni biashara na tunalima kinatulipa tofauti ilivyokuwa awamu ya 5.
Sasa hivi hakuna zao ambalo limeanguka bei Bali mazao yote Kwa Sasa yanauzika na sisi ndio tunataka hivyo..
Ni hayo tuu Kasi iendelee 👇