Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Hahaha, ni mawazo yako lakini JPM alikuwa ana mapungufu mengi. Angalia alivyoharibu zao la korosho kwa mfanoSana! Ukiona unapigwa mawe ujue unafanya vizuri!
Hii inanikumbusha wapumbavu na mataahira yaliyokuwa yanampiga mawe jpm.