Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 May 11, 2023 #21 Crimea said: Sana! Ukiona unapigwa mawe ujue unafanya vizuri! Hii inanikumbusha wapumbavu na mataahira yaliyokuwa yanampiga mawe jpm. Click to expand... Hahaha, ni mawazo yako lakini JPM alikuwa ana mapungufu mengi. Angalia alivyoharibu zao la korosho kwa mfano
Crimea said: Sana! Ukiona unapigwa mawe ujue unafanya vizuri! Hii inanikumbusha wapumbavu na mataahira yaliyokuwa yanampiga mawe jpm. Click to expand... Hahaha, ni mawazo yako lakini JPM alikuwa ana mapungufu mengi. Angalia alivyoharibu zao la korosho kwa mfano
H Hennes kolon JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 673 Reaction score 1,294 May 11, 2023 #22 ChoiceVariable said: Watu wanakwambia ekari Moja ni mil.17 sijui wameitoa wapi Click to expand... ni hekta moja =2.5 ekari.
ChoiceVariable said: Watu wanakwambia ekari Moja ni mil.17 sijui wameitoa wapi Click to expand... ni hekta moja =2.5 ekari.