Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

We mbona unaitafuta talaka kwa nguvu hivyo, yaani unatamka hadharani kabisa eti Mshana Jr ni mganga wa kienyeji...!!

Anyway siku yoyote akikupa talaka, ni pm hutojuta kwa hayo malovidavi nitakayokupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…