Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
YaaniUnaweza ukabambikiwa kazi yenye hadhi kuliko ulivyo mpaka unaanza kujiona fala [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YaaniUnaweza ukabambikiwa kazi yenye hadhi kuliko ulivyo mpaka unaanza kujiona fala [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
TeheNimepatia eeeeh nafata na sodaaa kabisaaa
Sisi wawindaji haramu wala hatuguswi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani
agata edwardDemiss...msusi salon.
We mbona unaitafuta talaka kwa nguvu hivyo, yaani unatamka hadharani kabisa eti Mshana Jr ni mganga wa kienyeji...!!Kubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie
Hahaaaaa, unaziguaaCheka kihutuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23]DUCE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jilan kwan utan na Jolie Jolie Umeanza lin?[emoji23][emoji23][emoji23]Jilani nasikia unasajili laini Tegeta kwa ndevu
Mbona umefurahi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine wanapigwa mlemle kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Sina habari kabisa, hebu kwanza nibashirie na mimi Demiss tuone!Huna habari [emoji23][emoji23][emoji23]