Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Naondoka ngoja nikakusanye sahani za Mama ntilie nitarud baadae muda wa kudai madeni kwa makondakta huuu [emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72]
Nimerud [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo Gentamycine ni mwandishi wa habari tena yupo EFM usimwambie mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…