Wewe ni Mkibosho[emoji23]Mimi natumia jina langu halisi, kazi kwenu bashirini!
Sory Demiss ujue kanichekeaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa bhn
Mi nikmenyamaza kimyaaa[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Nasubiria ukweli
Na mvua hii. Ntakuwa na kazi usiku tu ya kumpetpet baeWw umeshinda hm huna kaz
Gonolea or UTI?I'd yako tu ugonjwaaaa
Kufa tuu ukiona vipi