Watejaaa wapo wengii utaongeza mtaji mwenzaaaSasa mwenza si tutaua genge lenyewe [emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N910T using JamiiForums mobile app
Sina hela mwenza labda Bae akirudi kutoka GonjaWatejaaa wapo wengii utaongeza mtaji mwenzaaa
Hahaaa mshana sio MTU mzuri, nisige nikageuzwa kuku kwa ndumbaba mama,Nitaificha na tunguli
Doh basi usiku akienda kwenye mahepe nitaifuaWatejaaaa wengi mwenzaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mm na sayansi wapi na wapi[emoji23][emoji23][emoji23] atakupa kazi ya kuuza Pharmacy
Sent from my SM-N910T using JamiiForums mobile app
Nisamehe swirrWa ngumi [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji3][emoji3][emoji3]
Basi utakuwa unadeki[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mm na sayansi wapi na wapi
Nitaje nisitajee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaka leka ulongoooo