Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Kutu ndo imepambaaaaa motoooo rafik
Pole aisee!! Tuvumilieni maana hali si hali huyu mzee anaufunguo wa kwenye grisi ila ndo hivyo hataki kutoa.

Unaweza kuwa zamani ulikuwa na hatua 5 saivi ukadrop hadi 2.
Jf is at least our site of relaxation.
 
Mimi muha [emoji23][emoji23]
Kazi ya wakibosho ni mabucha na kuuza mbege [emoji23]
Mmassy ipo machame as well as kibosho, how did you pick Kibosho? by the way mabucha na baa ni ziada ukitoa kazi, naweza kuwa nayo hayo, duka, bajaji, taxi on top of my actual job..back to square one!...kazi yangu bado!🙂🙂😀😀
 
wengi threads zao na comments zao utajua wanafunzi tu!Ila kujua kazi rasmi ya mtu ni ngumu!
Mpaka wale kidogo tunajamiana vizuri!
 
Back
Top Bottom