Lelommassy
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 426
- 398
Marangu nilichukua Jiko!Mmaranguu [emoji3][emoji3][emoji3]
Huku kwetu hakuna habar za kujuteka wala kutekwa huku ni mwendo mdundoUtajitekaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji111]
Au nitume picha, ujaribu tena, nilishaitumia humu humu siku za nyuma!Nimeshindwaaa
Simba royal Ofisi yake kariakooofalcon mombasa ni dereva/ konda wa mabasi.
Mimi muha [emoji23][emoji23]Kama wewe!..bado kazi yangu!🙂🙂
Zile za uchungu au za ubaridi [emoji23]Nyanya chungu unazo nzur mwenza