Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Ni kweli kabisa Joseverest alikuwa mlinzi wa guest, ila naona sikuhizi atakuwa na job ingine maana sio Joseverest yule tuliyemzoea!
Watu wafukunyukuuu walllah
 
Sky eclat ni receptionist moja ya ofisi za NGOs haaaa
 
Nitakuwa nakiuka sheria za jf mimi kama member mkongwe siwezi fanya hvyo. Pia nitakuwa nashiriki kutoa privacy za watu
Kumbe nafaaa kumrithi Sheikh Yahaya
 
Hii nyota ya kuonana na watu inazidi kung'ara kila kukicha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ebu usizibe huo mlango bana
Unataka kutembelea nyota yangu wewe tulia kidogooo nipate Ridhiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…