Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Riziki kila mtu anayo yake bana na kipa mmoja anaipata kwa njia yake tofauti na mwenzio.Unataka kutembelea nyota yangu wewe tulia kidogooo nipate Ridhiki
NakuonaaaaaM mzimaaa Dada madam
Yaani jinsi nilivyopeke yangu ndio nahisi kama K/koo vile.Unanichanganyaaaa
karibu mumeJamani my kipenzi nimekuja
my One n OnlyMy kipenzi...
mimi ndo utamu wake jamanLoooh hapa nimebak mdomo wazi sms yangu hujaona ila ya wifiii umeona sawa tu
Amenifurahisha sana leo kipenziPole my kipenzi huyu Demiss kanishinda tabia kabisa
Mmh akikupeleka mirembe,mshana nae hatuacha salamaNipeleke mirembeeee tafadhali
Umeona alivyonipatia kwenye kazi yangu hapo kipenzi changu, sijui kisa alinitembelea kazini..Amenifurahisha sana leo kipenzi