Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Jamani nami natamani nibashiriwe kazi yangu walau hii inatoa picha kuwa watu wanakuonaje au wanajenga picha gani juu yako na personality yako.
 
Tatizo hapa watu story nyiiiiingi,ww umeambiwa bashiri kazi ya member nilitegemea post nyingi ziweza ubashiri tu km umeamua kumbashiria Demiss basi andika tu hv


Demiss. - Dada wa Saluni
Mshana Jr --Mganga wa Jadi
Tattum. -- Askari Magereza
N.k nadhani itapendeza ikionekana hv sio story Lundo
Haka ka @Tattum. inawezekana ni ka askari magereza au zimamoto
 
Back
Top Bottom