Huyo cha mdeko asikuchanganye kipenzi changu.hivi kwani umenitaarifu
hii kesi twende tukaongelee chumbanKipenzi changu anataka kusema maana nilimwambia nitampa kazi ofisini kwetu bila kumfanyia intaviuuu
Tena matwins kabisa kipenzi changungoja tukatafute mtoto my wiii
Inshaallah itakuwa hivyoTena matwins kabisa kipenzi changu
Leo tulale kwa staili gani kipenzi changu tukiwa ndani ya blanket letu liletulale basi kipenzi
Sawa my babehii kesi twende tukaongelee chumban
AmiinInshaallah itakuwa hivyo
Fundi simuJamani nami natamani nibashiriwe kazi yangu walau hii inatoa picha kuwa watu wanakuonaje au wanajenga picha gani juu yako na personality yako.
nataka nilale kifuani kwako huku ukiwa umenikumbatiaLeo tulale kwa staili gani kipenzi changu tukiwa ndani ya blanket letu lile
Inauma mtoto mzuri umekosa usingizi au mlinzi?[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Halafu tukiwa tunabadilishana joto kwa njia ya Induction babe wangu.nataka nilale kifuani kwako huku ukiwa umenikumbatia
Sio fare mnatuumiza wengine banatulale basi kipenzi
Pole mkuuSio fare mnatuumiza wengine bana
Aisee mbona munatutesa wengine tupo tumekumbatia mito msitusababishie maumivuTena matwins kabisa kipenzi changu
Aisee mbona hivi tenaLeo tulale kwa staili gani kipenzi changu tukiwa ndani ya blanket letu lile
Ngoja nizime datanataka nilale kifuani kwako huku ukiwa umenikumbatia
Vumilia mkuu, na wewe zamu yako yaja hivi pundeAisee mbona munatutesa wengine tupo tumekumbatia mito msitusababishie maumivu
Aisee hivi ni kweli au nawewe unajifariji tuPole mkuu
Mkuu ndoa ni raha sanaAisee mbona hivi tena