bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Mwifwa na mpenzi wako huyo ambaye pesa ndio inaongea lengo lenu nn lakini????Mnaturingishia au tueleweje?Nendeni Pm bhana mnajaza Uzi bure wakati mko nje ya mada.Vumilia mkuu, na wewe zamu yako yaja hivi punde
Poa mkuuMwifwa na mpenzi wako huyo ambaye pesa ndio inaongea lengo lenu nn lakini????Mnaturingishia au tueleweje?Nendeni Pm bhana mnajaza Uzi bure wakati mko nje ya mada.
Ok usiku mwema,I'm calling it a day.Poa mkuu
Hahahhhh umekamatika MkuuPoa mkuu
usingizi leo umekata kabisa sijui tumuite na kaka Mshana Jr tupeane kampaniNipo hapa nimejaa tele
Hahaaaa. Lol. Rafiki.ila na TISS si bado upo au wamekuhamisha kitengo kama RAS wa tabora ...😱😱😱
Usalama upo bila shakaHahaaaa. Lol. Rafiki.
Niko home tu sasa. [emoji12] [emoji12]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Kipenzi changu changu una joto maridhawa kabisa
tulale basi kipenzi
Leo tulale kwa staili gani kipenzi changu tukiwa ndani ya blanket letu lile
nataka nilale kifuani kwako huku ukiwa umenikumbatia
Halafu tukiwa tunabadilishana joto kwa njia ya Induction babe wangu.
Mmh. [emoji15] [emoji15] nyieeee.Kipenzi changu moneytalk naomba unijibie hili swali halafu uje kifuani tena tuendelee kufurahia utamu wetu
Tena Dagaa wa kigoma na nyasa sio hawa dagaa koko wa Victoria na maji chumvi.
Upo rafiki. Sijui kwa upande wako?Usalama upo bila shaka
Niko salama mimiUpo rafiki. Sijui kwa upande wako?
Unaendaga kutafuta nini kwa wadada wa barber shop?Wale wengi wanakuaga warefu,weusi,wembamba halafu huwa wanakua wameweka rough dread[emoji23] [emoji23]
Kwa hyo possibly demiss yupo hivo mkuu?[emoji23] [emoji23]
Sawa. Kumekucha bana.Niko salama mimi
Oooyeeeeaaaahh!!Sawa. Kumekucha bana.
Mfanyakazi wa kiwanda cha karatasi MgororoMrmufindi nae je unamtabiliaje?
MnipitieOooh tuende Royal Club weekend Leo [emoji3][emoji3][emoji3]