[emoji23][emoji23]Hata mimi sitaki kushare utamu wetu na mtu.
Vipo vya kushare ila sio utamu my kipenzi
Kwani nyumbani kwenu mlikua hamjapeleka barua ya posa ya Mwifwa kwa moneytalk? Mbona unawaamuru waje nyumbani kama vile bado hamjawahalalisha?
Hahaaaa. Faida tunaitaka Sesten ila tunaangalia na afya za wateja zetu.Nawaona watu wa maduka ya vipodozi wanavyokimbizana na askari kuhusu vipodozi vyenye viambata vya sumu kutoka kongo, wenyewe wanasema ndio vinafaida kubwa sana na eti wateja wanavipenda! nyie hamtaki kupata faida kubwa Hajar na mwenzio?
We cheka tu rafiki. Sababu mahaba ya Mwifwa yamenifanya nipaliwe. Hahaaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulikua hatujui kitu sisi katushtukiza tu tena Hajar alivyoona hayo maongezi ya Mwifwa alizimia ikabidi tumpepe...Kwani nyumbani kwenu mlikua hamjapeleka barua ya posa ya Mwifwa kwa moneytalk? Mbona unawaamuru waje nyumbani kama vile bado hamjawahalalisha?
Hahah!!! Sawa tupo pamojaMzmaaaa nimejaaa tele nawaaangalia tu haters wangu mtaaa wa pili kwa darubini.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] naota au?Tulikua hatujui kitu sisi katushtukiza tu tena Hajar alivyoona hayo maongezi ya Mwifwa alizimia ikabidi tumpepe...
Mimi nilijua simu inanidanganya au Mwifwa kapata shambulio kama lile JF ilipata ikabidi niizime alafu niwashe tena, nikaifuta app alafu nikaidownload tena..
Hahah!! Mahaba ya Mwifwa mengi sana adi yanamwagikiaWe cheka tu rafiki. Sababu mahaba ya Mwifwa yamenifanya nipaliwe. Hahaaaaa.