Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Hahaaaa. Inabidi sababu tu sasa sababu tukiwaomba pesa zenu mnatusimanga mpaka basi ndio maana na sisi tunaona tutafute tu za kwetu Sesten.
Ndio kubadilika kwa dunia hivyo Hajar, wanaume hatutimizi majukumu yetu inavyopasa na wanawake pia kuna mahali mnakosea, sasa hivi sote tunapigana vikumbo kwenye harakati za kutafuta maisha...inabidi iwe hivyo maana ndio zama zenyewe zilivyo na wakati ukuta Hajar haiwezekani kushindana nao
 
Hahaaaa. Kweli kabisa usemayo Sesten.
 
Mmh. [emoji15] [emoji15] nyieeee.

Nawaomba baadae mje nyumbani kwa kweli. Mie nkajua mko Whatsapp. Au muda mlioandika umeshawishi hiki mlichoandika.

Davet na ukhuty msikose.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kimenuka hapa leo sijui home patakuwaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom