Hahaaaaaa. Ndio mdogo wangu.tuje wasapa dada
Hahah!! Sio ndoto kumbe ni kweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] naota au?
Hahaaaa. Kweli usemayo Davet hakuna la uongo hapo.Tulikua hatujui kitu sisi katushtukiza tu tena Hajar alivyoona hayo maongezi ya Mwifwa alizimia ikabidi tumpepe...
Mimi nilijua simu inanidanganya au Mwifwa kapata shambulio kama lile JF ilipata ikabidi niizime alafu niwashe tena, nikaifuta app alafu nikaidownload tena..
mgoja nakuja sasa hiv kesho tutakesha humuHahaaaaaa. Ndio mdogo wangu.
Hahahaha, mimi ni mvuja jasho mmoja tu HajarHahaaaa. Faida tunaitaka Sesten ila tunaangalia na afya za wateja zetu.
Wacha nikutabirie na mie Sesten wewe itakuwa boss mmoja hivi huko jijini kwa Bashite. Hahahaaaaa. Lol
Nope! sema Umetekwa na muhenga tu na mali unataka no way.Ooooooh si unajua mm kampany yangu ni wahengaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72]
Kama mnawajali wateja wenu basi ngoja niwape pongezi na kongole teleHahahaaaaaa. Hatuwezi bana Sesten.
Sisi tunajali sana wateja.
Hahahaaaa. Yanamwagika kwa kweli.Hahah!! Mahaba ya Mwifwa mengi sana adi yanamwagikia
Hahaaaa. Sawa mdogo wangu.mgoja nakuja sasa hiv kesho tutakesha humu
Hahahaaaa. Itabidi na mie nije huko tuvuje jasho wote Sesten sababu nipo home tu sasa sina pirika. [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaha, mimi ni mvuja jasho mmoja tu Hajar
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa. Yanamwagika kwa kweli.
Mie nimecheka pale pa blanket. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lol[emoji23][emoji23][emoji23]
NakaziaDemiss...msusi salon.
Hahahahaa Hajar, dunia ya kuvuja jasho ni dunia ya wanaume mamii, ni dunia ya mapambano na ni dunia ngumu sana, japo wanawake nanyi siku hizi hamtaki kuachwa nyuma katika kutafuta ugali, hamtaki kusubiri kuletewa mkiwa mmekaa tu nyumbani, na nyie mnataka muingie uwanja wa mapambano kama wanaume mtafute wenyewe......hahaaa ingekua amri yangu ningewaambia subirini kwanza lakini dunia yote itanicheka na kuninyooshea kidole kua nina mawazo ya kupinga maendeleo ya wanawake, haya karibu Hajar kwenye mapambano ya kuvuja jasho kuisaka notiHahahaaaa. Itabidi na mie nije huko tuvuje jasho wote Sesten sababu nipo home tu sasa sina pirika. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
KungwiMambembe je?
Hahaaaa. Inabidi tu sasa sababu tukiwaomba pesa zenu mnatusimanga mpaka basi ndio maana na sisi tunaona tutafute tu za kwetu Sesten.Hahahahaa Hajar, dunia ya kuvuja jasho ni dunia ya wanaume mamii, ni dunia ya mapambano na ni dunia ngumu sana, japo wanawake nanyi siku hizi hamtaki kuachwa nyuma katika kutafuta ugali, hamtaki kusubiri kuletewa mkiwa mmekaa tu nyumbani, na nyie mnataka muingie uwanja wa mapambano kama wanaume mtafute wenyewe......hahaaa ingekua amri yangu ningewaambia subirini kwanza lakini dunia yote itanicheka na kuninyooshea kidole kua nina mawazo ya kupinga maendeleo ya wanawake, haya karibu Hajar kwenye mapambano ya kuvuja jasho kuisaka noti