Kwa raha yangu kabisa[emoji23] [emoji23] jilie mwaya
hahahaaaNgoja nizime data
hawajui tu ninavyokupenda kipenzi changuMkuu ndoa ni raha sana
wivu tu huo unakusumbuaMwifwa na mpenzi wako huyo ambaye pesa ndio inaongea lengo lenu nn lakini????Mnaturingishia au tueleweje?Nendeni Pm bhana mnajaza Uzi bure wakati mko nje ya mada.
Kipenzi changumie mlinzi jaman
Hawawezi kujua pia kama ninavyokupenda babe wanguhawajui tu ninavyokupenda kipenzi changu
Hapo umefanya jambo zuri kipenzi changuNimeshamjibu mume wangu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Utamu wa ngoma mcheze wengiKizuri kula na wenzio[emoji23] Ila kwa hazard nakula peke angu
Hiyo ni kawaida bana my wala usipate shida sanawivu tu huo unakusumbua
tushalichokoza dude leo tutalala miguu juu kichwa chini!!!!!..............anza kubadilisha kabisa position ya kitanda chako kiwe kimesimama kuelekea juu ili uendane na matakwa halisi ya siku ya leoMchimba kisima huingia mwenyewe mkuu
Babe usijali Dada zangu wako peace sana hapo halijaharibika jambo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mtusamehe jaman
huyu anatafuta mengine sasaChaiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tushalichokoza dude leo tutalala miguu juu kichwa chini!!!!!..............anza kubadilisha kabisa position ya kitanda chako kiwe kimesimama kuelekea juu ili uendane na matakwa halisi ya siku ya leo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Uwiii teh teh umenishinda tabiaa
hahahaa jamanWewe uwe manager khakhaa! Naandamana! You know why??
Ungekua manager hakii Demiss asingerembaa na kuhama chamaa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Cc Smart911
Haaa...wale wanaosha tu kichwa cha juu ukimaliza kushaveUsiniambie ulienda kumasajiwa na wadada wa barber shop
jamanWe cheka tu rafiki. Sababu mahaba ya Mwifwa yamenifanya nipaliwe. Hahaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaa jaman