tansoma
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,209
- 580
Ahsante kwa soda the missWaooooh asanteee sana jamani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kunywa soda aiseeee ulikuwa wapi wewe
Demiss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa soda the missWaooooh asanteee sana jamani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kunywa soda aiseeee ulikuwa wapi wewe
Nakusubiri nyumbaniHaaa...wale wanaosha tu kichwa cha juu ukimaliza kushave
haha kuna usalama kweli?Nakusubiri nyumbani
Mboma unacheka mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Comment yako imenifurahishaMboma unacheka mkuu
nataka kushinda tu nawewe siku nzima,tukipanga mipango yetu ya maisha,sina kingine kipenzi changuNikufanyie nini kizuri weekend hii babe wangu ?
Sawa mkuu nashukuru kwa kukufanya ufurahiComment yako imenifurahisha
Lazima pawe hivyo maana member wengi washaufyataduuh afu sikuhz kumedorora hatr
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]nataka kushinda tu nawewe siku nzima,tukipanga mipango yetu ya maisha,sina kingine kipenzi changu
Wife material katika ubora wako kipenzi changu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] nakupenda sana.nataka kushinda tu nawewe siku nzima,tukipanga mipango yetu ya maisha,sina kingine kipenzi changu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sawa mkuu nashukuru kwa kukufanya ufurahi
kwann sasa ..nin kimetokea?Lazima pawe hivyo maana member wengi washaufyata
Sijui kwa wengine ila mimi girisi ndio imenifanya niwe busykwann sasa ..nin kimetokea?
Pamoja mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Na ka udalali kwa mbaliiiWewe mchaga nasikia una jiko la kitimoto Manzese [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna kaukweli hapo" koplo"Gentamycine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kimenuka au umekinukisha mdogo wangu?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kimenuka hapa leo sijui home patakuwaje