Wewe umejiunga JF kwa ID hii mnamo January 31, 2018. Jee umejuaje kama zamani JF ilikuwa na mada nzito na zenye hoja nzuri kuliko sasa?Cjakuelewa mkuu
Wauza matunda au?Demiss kiukweli huwa nahisi ni wale wa buguruni kimboka
wewe unanifurahishaga sana hivi wewe si ndo yule wa kukwiba hotel?Kubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie
Mimi je?Kubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie
miss Natafuta ni muuguziMwenza [emoji4]
mhhhNdo mm mkuu hahahahahaha
BadoUlishapata mchumba kwanza
Ni tatizo la wengi wanaohisi ni wakongwe kuamin ukiwa mgeni JF kwa maana ya membership bas hukua unaijua JF bila kujua kua whether ni memba au sio bado unaweza kufuatilia kila kinachoendelea hapa shida ni kua huwezi kuchangia mijadala.. Ila pia JF iko kwenye social networks zingine.. Nashauri tuache huu ushamba wa kuona mtu kachangia usiporidhishwa na mchango wake unafukunyua taarifa zake ukikuta kajiunga siku za karibuni inakua ndo fimbo ya kumchapia ukimpublish kama mtu asiejua chochote kisa ni mgeni bila kujua yeyote anaweza kufuatilia na kuona yanayoendelea hapa hata kama sio member.. After all JF inapatikana bure FREE BASICS kwa wanaotumia Opera miniSwali zuri kwanza jf nimejiunga 2009 kwa Mara ya kwanza miaka miwili baada ya jamboforum hii I'd mpya ni ya juzi tu
Pia ujue kuna wanaoperuzi jf frii bila kuwa members humu
Jf ilikuwa enzi hizo sio sasa tafuta thread za 2008 linganisha na hizi zetu
NB where is faiza foxy
njoo pmNini