Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Wewe umejiunga JF kwa ID hii mnamo January 31, 2018. Jee umejuaje kama zamani JF ilikuwa na mada nzito na zenye hoja nzuri kuliko sasa?Cjakuelewa mkuu
Naomba ufafanuzi hilo ndio lilikuwa lengo langu la kuhoji ID yako ya zamani maana inaelekea JF umeijua zamani kiasi kwamba unajua utofauti wa zamani na sasa katika mada zinazoletwa humu